Kabla ya 2016, shule nyingi zilikua zinategemea michango ya wazazi kuajiri au kulipa walimu wa kujitolea, mara nyingi wanafunzi waliomaliza Kidato cha VI, kufundisha masomo haya.[326] Kutoka na sera ya kufuta ada, shule hizi hazina tena uwezo wa kuchangisha wazazi. Tangu Januari 2016, serikali haija ajiri walimu zaidi wa kudumu au kuongeza fungu la bajeti katika fedha za ruzuku za mwezi za shule kuwezesha shule kuajiri walimu wa muda mfupi.[327] Katika shule iliyoko kijijini, Shinyanga, Martin Mweza, kaimu mwalimu mkuu, aliwaambia Human Rights Watch Januari 2016 kuwa:
Download Wakubwa Wa Jiji Muda Ndo Huu Mp3
2ff7e9595c
Comments